Padri aliwaambia waumini wachangishe pesa ya kujenga hospitali. Waumini wakachangisha Tsh 700,000.
Ghafla wezi wakavamia kanisani kisha wakawaamuru waumini watoe pesa zote walizonazo vinginevyo wauliwe.
Waumini wakatoa pesa taslimu zikafika Tsh 62.5 million. Wezi wakakusanya hiyo pesa kisha wakampatia Padri.
Je nani ana makosa, Wezi au Waumini?
:shock::shock::shock::shock::shock: wezi waliwafanya waumini waingie gharama zinginePadri aliwaambia waumini wachangishe pesa ya kujenga hospitali. Waumini wakachangisha Tsh 700,000.
Ghafla wezi wakavamia kanisani kisha wakawaamuru waumini watoe pesa zote walizonazo vinginevyo wauliwe.
Waumini wakatoa pesa taslimu zikafika Tsh 62.5 million. Wezi wakakusanya hiyo pesa kisha wakampatia Padri.
Je nani ana makosa, Wezi au Waumini?
kosa ni la wezi coz kutoa ni moyo na inategemea budget yako la fungu la kumi ndo lazima cjui nimeeleweka?
toa nyingine hii imekaa sanya.padri aliwaambia waumini wachangishe pesa ya kujenga hospitali. Waumini wakachangisha tsh 700,000.
Ghafla wezi wakavamia kanisani kisha wakawaamuru waumini watoe pesa zote walizonazo vinginevyo wauliwe.
Waumini wakatoa pesa taslimu zikafika tsh 62.5 million. Wezi wakakusanya hiyo pesa kisha wakampatia padri.
Je nani ana makosa, wezi au waumini?