Wewe utaweza???

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
[h=3]UNAWEZA KUDHANI NI MWANAUME SIO??[/h]
​
Anaitwa Renee Toney mwanamke body builder(mjenga misuli)na mnyanyua vitu vizito.Renee au Rene wanavyomfupisha asili yake ni Brazil lakini ni raia wa Marekani.​
​
Renee mwaka 2006 alitwaa taji la mwanamke mwenye mwili wa misuli kuliko wote.Ilimchukua miaka 20 hivi kutengeneza mwili huo​
​
​
Unamcheki panya katuna pale kati​
​
​
​
Inaonekana ukinyanya vitu vizito na manyonyo yanapotea.Renee aliolewa na bilionea wa Kifaransa na ana watoto wawili wa kike.
​
 
mwenzangu huyo kaolewa lakini!? alipata wa kumpenda jama ila du?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…