Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,587
- 19,838
Burundi sio mbali kihivyo mkuu wewe una afadhaliMie nafika Burundi kabisaa
Naomba namba ili niwe nakupigia Mimi please🧐🧐🧐Nitatembea dunia nzima.
tafuta na wewe mtu umtese bana usiwee mnyonge alaaah..Kwa mfano ukiambiwa uinuke uanze kutembea kwa miguu mpaka pale utakapopigiwa simu na Mpenzi wako,je were unaweza ukatembea kwa umbali gani?
Mimi ninaweza nikatembea kutoka Hapa Nairobi Hadi Afrika Kusini bila ya kutumiwa message yoyote na Mpenzi wangu achia mbali kupigiwa simu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi wengine tumejiegesha tu kwa watu tunazuga tunapendwa kumbe full kuteswa tu
😂😂😂😂 Bora nimepata wa kusave tz11 zanguNaomba namba ili niwe nakupigia Mimi please🧐🧐🧐
Nipo hapa nasubiri eti☺️☺️😂😂😂😂 Bora nimepata wa kusave tz11 zangu
hata wale matapeli wa mtandao nao hawakupigii?We unasema mpenzi!? Mimi ata ukisema nitembee had nitakapopigiwa na mtu yeyote tu bado naweza imaliza kanda ya ziwa yote.
Hamna yan sijui no yangu hawaijui!?hata wale matapeli wa mtandao nao hawakupigii?
hahaahHamna yan sijui no yangu hawaijui!?