mkuzi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 1,627
- 1,462
1. Wasichana walio katika umri wa balehe walio katika mazingira hatarishi.
2. Vijana walio katika umri wa balehe.
3. Watoto yatima na watoto walio katika mazingira hatarishi (yaani watoto wanaoishi mitaani).
4. Wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao.
5. Wanawake wanaofanya ngono kinyume na maumbile.
6. Watu wanaotumia dawa za kulevya hasa wale wanaotumia dawa za kulevya kwa njia ya kujidunga sindano.
7. Wanawake wanaofanya biashara ya ngono na wateja wao.
8. Wafungwa.
9. Wakimbizi na wafanyakazi wanao hamahama hasa madereva wa malori ya masafa marefu.
10. Wachimba madini na jamii zilizopo katika maeneo ya migodi.
11. Wavuvi na jamii zilizopo katika maeneo ya uvuvi.
12. Wafanyakazi wa kwenye mashamba makubwa.
13. Wajenzi wa barabara na watu wenye ulemevu