tuwe wazalendo toa ushauri kwa air Tanzania kwasababu ndo nchi yako regardless kama watakuwa wamekusikia or wakupuzie
mkuu wa wilaya ya Hai Bwana Makunga amelalamikia watu wanaoshuka kwenye ndege KIA kuulizia usafiri wa bodaboda
source uso wake wa kitabu
Nauli ndogo za FastJet ni za muda tu. Ni MARKET ENTRY STRATEGY. Wanaweza kuondoka upesi sokoni kama walivyoingia kwa sababu nauli zao haziwezi kukidhi gharama kwa muda mrefu. Wataanza kupandisha bei taratibu baada ya muda. Kwenye miaka ya 1980 huko Uingereza alitokea jamaa mmoja anaitwa Sir Fredy Laker akaanzisha Laker Airlines kwa mtindo huo huo wa FastJet na kuchota abiria wa makampuni mengine ya ndege. Walichofanya washindani wake kama British Airways na wengine walishusha nauli chini ya zile za Laker katika route zote ambazo Laker ilikuwa ina-operate na abiria wao wakarudi. Haikuchukua muda Laker Airways ikafirisika na kujiondoa kwenye soko. Baada ya hapo nauli za kampuni zingine zikarudi kwenye viwango vya awali. Enjoy FastJet while it lasts.Isije ikawa ni "kipya kinyemi, ingawa...." Mimi naamini ni muda tu utaamua kama ni "Fast Jetting" ama "Fast Betting"
"Usiache mbachao, kwa msala upitio"
Du Makunga mbona yupo humu JF ajibu hizi hoja na kuanzia sasa aruhusu Bodaboda zote zisogee pale KIA kuliko kizizuia zisiingie km ni habari za kwelimkuu wa wilaya ya Hai Bwana Makunga amelalamikia watu wanaoshuka kwenye ndege KIA kuulizia usafiri wa bodaboda
source uso wake wa kitabu
mkuu wa wilaya ya Hai Bwana Makunga amelalamikia watu wanaoshuka kwenye ndege KIA kuulizia usafiri wa bodaboda
source uso wake wa kitabu
Du Makunga mbona yupo humu JF ajibu hizi hoja na kuanzia sasa aruhusu Bodaboda zote zisogee pale KIA kuliko kizizuia zisiingie km ni habari za kweli
Huyu Makunga mwehu nini? Anataka ndege wapande matajiri tu wa kukodi tax?
Air Tnzania hata ukiwapa ushauri hautawafaa sababu wapo ki SIASA zaidi sio kibiashara wana ndege 2 wafanyakazi 225 majengo ya Ofice yakukodi 45 ghalama zote hizo zilipwe kwa Ndege 2 wanaishi kwa matumaini ya ahadi hewa toka Serkalini wakati hta selikali yenyewe inashidwa kujiendesha kwa mapato yake je kuna Wachumi hapo??wa biashara?? watoa maamuzi hawana mazi
Fastjet inashindana na mabasi na si air Tz au precision air. Bigup fastjet!