Wazazi wanaanzaje kuwapangilia watu waliokutana wanavyojuana. Na ukute wazazi wenyewe nao walipingwa enzi wanachumbiana wakafanya ngumu na mwisho wa siku wakafanya familia iliyo bora.
Ila Leo wao wanaona ni faraja kwao kuwawekea wengine ngumu; ila Mimi nafurahia wazazi Wangu hawana tabia hizo Dada zangu nne walileta wachumba na wote wanaishi nao adi leo likewise kwa wanaume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.