Tanzanian lady
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 261
- 321
Habari za jumapili wapedwa
Mungu ni mzuri jumapili iko vyema.
Nimekaa hapa ghafla nawaza
Katika maisha kuna watu/ mazingira yanatufanya tuwe mbali kihisia ( mfano, wazazi wanakukataza kuoa/kuolewa) na mtu Fulani ambaye unakuta kashakukaa moyoni na kumtoa inakuwa vigumu
Kuna haja ya kuwasiliana na mtu ambaye bado mnapendana lakini there is no future hata ya kuonana uso Kwa uso. Ukiangalia mlishakuwa na good time pamoja.
Ukijaribu kumuacha uanze upya mnajikuta mmerudisha mawasiliano vizuri tu lakini yasiyo Na msingi wowote maana teyari kuna vizuizi.
Karibuni Kwa mawazo yenu!
Yours
Tanzanian Lady
Sent using Jamii Forums mobile app