Habari ndugu wa Love connect,
Mimi ni kijana wa kiume na niko katika safu hii lengo likiwa ni kutafuta rafiki wa kike ambae atakua mchumba. Awe na sifa hiizi
-Umri usizidi 30.
-Awe mfanyabiashara.
-Muelewa na mkarimu
Mengine tutaongea tutakavyokua tunafahamiana.
Tafadhali ni PM kama uko serious tuuuu.