Jo Assistant
Senior Member
- Jun 20, 2014
- 195
- 202
Jaribu angalau kufikiri ni kitu gani umekuwa unapenda kukifanya tangu ukiwa mdogo...Sijui!
Kipaji cha "self-destruction" πKusmoke weed inakaa kwenye kundi gani apo
ππ½ββππ½ββππ½ββ Kaka kaka... Huo mchezo ni hatari!Punyeto ni kipaji halisi kutoka kwangu
Unaabudu wapi ndugu yangu?Kipaji cha kuchambua "uwepo wa Mungu halisi "
Ah! Uko vizuri my friend... Unaweza ukanisimulia hata "series" nzima pia?Nikikusimulia story, utahisi unaangalia move,, najua
Lakini hicho kipaji huwa hakikai... Mi' nilikuwa napiga hadi sahani 7 za kande nikiwa form 3, sa' hivi hata sahani moja kumaliza ni shughuli! πKula nacho kipaji?
At last....ππΌππΌ Mbunifu mwenzangu! Naomba kujua unajishughulisha na nini katika ubunifu.Ubunifu.
Sio kipaji directly... Ni kama tu tabia tuseme. Huwa unapenda kufanya kazi za aina gani?Kupenda kufanya kazi pia ni kipaji?