- Thread starter
- #41
Eti ndiyo anaitwa guruwe!!!Mimi huwa sipendi mtu kumuita mpenz wake majina ya ajabu
Mtu hata kama humpendi haina haja ya kumpa majina ya ajabu
Eti ndiyo anaitwa guruwe!!!Mimi huwa sipendi mtu kumuita mpenz wake majina ya ajabu
Mtu hata kama humpendi haina haja ya kumpa majina ya ajabu
Inauma, inauma sana aiseetunaitwa majina mabaya mabaya, bila kujua, utasikia hili senge ndo latoka,
Yaani huyu ni wa kufukuzwa mchana kweupeeeguruwe huishi na gurewe wenzake....haina noma ila ndo safari ya kurudi kwao imekamilika....hakuna mjadala.....
Duuh! Mkuu ni mume huyo ujuwe!!!!
teheteheteheNaye guruwe alitakiwa aseme kwa kumdisi huyo mke, yaani ajifanye anamtumia sms manzi wake aandike hivi Pozo la moyo wangu najiandaa kutoka humu gerezani nilipishe hili kahaba,
Hawa viumbe basi tu, tunaishi nao lakini ni kama nyoka Mkuu wewe waone hivyohivyo.
Ukhty usicheke baadhi au asilimia kubwa ya wanawake ndivyo walivyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rekebisha kidogo hapo, iwe ni Maguruwe FC 0 Vs Makahaba Sc 4Maguruwe FC 0 Vs Michepuko FC 4
Dalika ya 90+4 za nyongeza yangu macho
Ndo hivo mkuutehetehetehe
haya bwanaUkhty usicheke baadhi au asilimia kubwa ya wanawake ndivyo walivyo.
Yaani siku ya harusi maigizo kibao. Mara mlishane keki, mara mtambulishane, sahani ya chakula unabebewa. Siku ya siku anakuita guruwe!!?Ndoa zenu za fassion, mnawazaga suti na ukumbi tu,
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Naye guruwe alitakiwa aseme kwa kumdisi huyo mke, yaani ajifanye anamtumia sms manzi wake aandike hivi Pozo la moyo wangu najiandaa kutoka humu gerezani nilipishe hili kahaba,