Wewe uliyeoa unalijua hili?? ..Unaitwa guruwe!!!

Wewe uliyeoa unalijua hili?? ..Unaitwa guruwe!!!

Kwani ajab nini hapo? Ka ulioa guruwe si lazima likuone guruwe jenzake?? Ukiona amefikia hapo na bado yupo kwako amekumbuka mlipoanzia. Jitu halijui kuoga wala kuibadili nguo ile ndogo ya ndani, ni nani huyo ka sio guruwe?? Naunga mkono hoja
Kwanza nimesoma hilo jina lako tu hapo jùu nkacheka kweli wee ni ngatara nkonu piti.
 
Inasikitisha sana sijui maisha yakila siku umo ndani yanakwendaje...
 
Wewe unaekubali mwanaume mwenzio aitwe nguruwe na unalinyazia una shida. Uibe mke, na maneno ya kashfa juu. Mungu anawaona
 
Naye guruwe alitakiwa aseme kwa kumdisi huyo mke, yaani ajifanye anamtumia sms manzi wake aandike hivi Pozo la moyo wangu najiandaa kutoka humu gerezani nilipishe hili kahaba,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama mwanamke unampenda na huna uwezo wa kumwacha usimtafutie vijisababu na kutengeneza njia za kumfumania coz hata ukimfumania huwez kumwacha utajiumiza bure
 
MIMI MANZI WANGU YUKO ANAFANYA MAZOEZI HAAPA SINA NOMA
 
Maguruwe FC 0 Vs Michepuko FC 4
Dalika ya 90+4 za nyongeza yangu macho
 
Mimi huwa sipendi mtu kumuita mpenz wake majina ya ajabu


Mtu hata kama humpendi haina haja ya kumpa majina ya ajabu
 
kamtukuza aisee, nguruwe ni mtamu, angemuita punda ningeunga mkono hoja, tunaitwa majina mabaya mabaya, bila kujua, utasikia hili senge ndo latoka, naja sasa hivi, huyo anayeitwa mngese ukute kamfiligisa usiku kucha..unamsamehe tu maisha yanaendelea, wanaume tuna plan A mpaka Z ni ku switch tu
 
Back
Top Bottom