Jamani mtaani kwetu uswazi kumetokea varangati la kufa mtu leo. Kuna njemba ina mke na mtoto mmoja ktk ndoa yenye miaka 3 na kidogo. Njemba na mkewe wamefunga ndoa takatifu mwaka jana tu baada ya kuishi kinyumba kwa miaka 2.
Chanzo cha sakata ni njemba kunyapia simu ya mkewe na kukuta akimtambulisha kama guruwe kwa mchepuko wake. Ilikuwaje akanyapia simu ya mkewe? Bila shaka aliona chaneli za malavidavi zinakatakata.
Jionee mwenyewe SMS ya mke wa njemba hapa chini.
My take: usijisifu unapendwa ewe mwanaume. Unajua mkeo anakuita jina gani kwa mchepuko wake??