donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Kuwachungulia waalimu hasa wanawake (chabo)Kugelezea ndo nin
Hapo kwenye manunda sasa sasa...
Hongera. 😎Sehemu kibao. Mchoraji, John Kisomo (halafu ni John kweli), Mkali wa soka goli kipa matata, Bigwa wa kingereza mpaka nakodiwa na shule za jirani kwenye debate, Mwimbaji kwenye kwaya ya kanisa.
Ila yote yaliyeyuka nikabaki na John Kisomo tu
Kugelezea ni kuangalia alichoandika mwenzako hasa kwenye mitihaniKuwachungulia waalimu hasa wanawake (chabo)
[emoji16][emoji16]ila wengine hii safari ya kupenda mizigo tumeianza zamani mnoo.,umenikumbusha kuna huyo madam wa kiswahili nilikua napenda aje atufundishe kila saa yani alikua ana mzigo wa maana mipaja hiyoo ,sasa alikua anapenda akija kufundisha anakaa mezani basi mimi akili yote ipo kwenye mipaja yake iliyojiachia mezani na vile alikua apenda kuvaa visket vinavyobana daah apo darasa la 5 [emoji28] nadhani ndo sababu ya mimi kufeli kiswahili mpaka na maliza 4m4 B ya kiswahili sjawahi kuionaKuwachungulia waalimu hasa wanawake (chabo)