ask viamo anything

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Wewe tayari umeshapiga simu na kuongea na AVA?

    Tujenge utamaduni wa kujaribu teknolojia mpya, hii inatusaidia kufahamu mapema namna unavyoweza kufaidika nayo na vile unavyoweza kuitumia katika sehemu mbalimbali na kuboresha huduma au kazi yako. Kwa sasa habari ya mjini ni Ask Viamo Anything ( AVA) ambayo ni AI ya sauti. Teknolojia ya AI...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mazingira yasiwe kikwazo kwako kutumia AI, AVA anapatikana wakati na eneo lolote

    Kuna nyakati tunakuwa katika mazingira ambayo Mtandao hakuna au unasumbua huwezi hata kuperuzi chochote wakati huohuo unahitaji kupata taarifa au kuthibitisha taarifa kwa kutumia AI, kwa sasa baada ya ujio wa AVA mambo yamekuwa tofauti kabisa kwani unaweza kupiga simu tu kutumia AI ya sauti...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Muulize AVA chochote bila ya kuwa na BANDO na upate majibu papo hapo!

    Unajua AVA (ASK VIAMO ANYTHING) ni nini? AVA huduma ya AI inayokuwezesha kuuliza maswali na kupata majibu kwa njia rahisi bila gharama yoyote na bila ya kuwa na Intaneti kwa kupiga namba 0901760321. Ili kuongea na AVA..... 1. Piga 0901760321. 2. Utasikia ujumbe wa karibu na menyu ya awali. 3...
Back
Top Bottom