As far as you are a lady just handle your business Ma'am.Uko sawa kabisa mimi ni homeless ila nina weza kukulisha mwaka mzima bure.
Kamalize kwanza shule uje kubishana na mimi.
Ukishuka kwenye hiyo minibus ambayo apparently umekosa seat ndo usome post yangu mkuundugu.Demu wako.sisi hatumjui afu unategemea tukushauri umuache ?[emoji23]
Mkuu ningekubali kwenda kwenye hiyo ofa tatizo natumia Oxygen na vile vibanda vyao pale mwananyamala venye madirisha kama Hostel za Usagara vinaingiza Sulphuric na Nitrogen Nasemaje mimi sio Alien.[emoji23] [emoji23]We lofa thA goD unaruka na hii ofa ya kulishwa bure au mi niende?
Aisee kama kagoma hii ofa ya msosi mwaka mzima bure naitaka mimi.Uko sawa kabisa mimi ni homeless ila nina weza kukulisha mwaka mzima bure.
Kamalize kwanza shule uje kubishana na mimi.
Manina lugha za stend asome nani? Kasome mwenyewe.
Vice versa is true, una pretend kunijua upate likes? Basi fungua uzi mpyaa unitukaneeeee uridhishe moyo wako.Imagine mdada huna Tako, mguu,umbo, sura,macho kama unasoma barua ya msiba,lips kama unapiga chafya still unabishana na wanaume ambao literally ni Wachache sana. What do you expect? Usagane? Aw kidding.