Wewe sio type yangu nimepima nimeona

Manina lugha za stend asome nani? Kasome mwenyewe.
 
Mm mpk nambua mtu chupi basi mambo yote nmeona yanafaa
 
Unajua maana ya boothe?
 
Nikikujibu inavyopaswa, utasahau trh ya leo. Nimekusamehe bure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You made my day.

Go and find something for a living.
Utakuwa homless wewe.
 
Tengeneza uzi wako mkuu utajua tu hata mdogo wako yule wa kike shule sekondari kichangani anayo tekno wereva.
Labda niseme tu WAHUNI SIO WATU WAZURI.
Unataka kusema simu umeipata kwa wahuni au sio?
Kweli wahuni sio watu wazuri.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You made my day.

Go and find something for a living.
Utakuwa homless wewe.
Uko sawa kabisa mimi ni homeless ila nina weza kukulisha mwaka mzima bure.

Kamalize kwanza shule uje kubishana na mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…