mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,750
- 7,850
- Thread starter
- #21
No hajalengwa mtu yeyote, huu ni msumeno hauna upendeleo. Tubadilike, si lazima lakini. Dont forget that!Mwenye Uzi wa member yeyote wa jf aliyejiita fogo aupandishe![]()
No hajalengwa mtu yeyote, huu ni msumeno hauna upendeleo. Tubadilike, si lazima lakini. Dont forget that!Mwenye Uzi wa member yeyote wa jf aliyejiita fogo aupandishe![]()
Si kweli!Chief @Kidukulilo Kuna mtu hapa anateseka Sana kwa ajili yako![]()
Sijawahi omba mkopo. Na hata ikitokea nitapenda kuomba ktk taasisi maalumu za fedha, na si mtu. Sipendelei.Wamekunyima mkopo?
Sijakutwa na chochote, labda wewe.pole kwa yaliyokukuta..
Duuuh! Mkuu soma uzi vizuri, hujasoma kwa makini kabisa. Hakuna hata tone la chuki hapo kwa tajiri yeyoteKutofanikiwa maishani sio tatizo, tatizo ni pale unapowachukia waliofanikiwa.
Hiki ndicho sahihi nilitegemea unishauri/uwashauri wahusika. Hapo sikupingi.Unachopaswa kutambua mtoa mada, binadamu tumeumbiwa utashi tofauti.
Sio kila mtu ameumbiwa kutoa au kurudishana kwa jamii.
Sio kila mtu ameumbiwa karma, Kuna watu bado wanaishi Zama za mussa. Jino kwa jino.
Sio kila mtu anaishi kwa kuangalia attention ya watu.
Mfumo wa maisha umebadilika Sana,
WENGI WANAISHI WATAKAVYO, na SIO wewe UPENDAVYO.
Cha muhimu,
Sote tujifunze kuvumiliana madhaifu yetu![]()
Tuko pamojaHiki ndicho sahihi nilitegemea unishauri/uwashauri wahusika. Hapo sikupingi.


Hapa napinga, kutosoma kwa ndugu zangu hakuna uhusiano na uhitaji wangu wa msaada wa saikolojia. As long as mimi sijapitia hayo na nina elimu yangu hata kama ni ya kawaida tu mkuu, nashukuru mno kwa Mungu.
Ukupaswa kumwaga hizo lawama ulizoorozesha Kwny huo Uzi wakoDuuuh! Mkuu soma uzi vizuri, hujasoma kwa makini kabisa. Hakuna hata tone la chuki hapo kwa tajiri yeyote

Duuuh! Yamekuwa hayo? Kupaa tena? Okay!Wakuu huu Uzi Ni ishara ya Nini?
Mi nnachoona Mtoa mada alichobakiza Ni kupaa tu![]()
Duh! OkMtoa mada aombewe![]()
Sawa huna chuki,ila hupendi mafanikio ya mafogo tu basiDuuuh! Mkuu soma uzi vizuri, hujasoma kwa makini kabisa. Hakuna hata tone la chuki hapo kwa tajiri yeyote
Sijafosi, nimekemea. Nimetupa jiwe gizani. Soma kwa makini.usifosi watu waishi utakavyo
Hata simhitaji huyo jamaa. Kumbe kuna mtu anaitwa kidukulilo humu JF?Sijui fogo kidukulilo yuko America au Asia maana kuna mtu anamuhitaji Africa![]()
Duuh! Jazba za nini ndugu?Onyesha namba ya NIDA hatuchangii kwenye nyuzi za wahuni wenu chuki na watanzania wenye mafanikio
Hukutakiwa kulaumu watu kwa kutosaidia wengine, hakuna mtu anahustle kwa ajili ya kumnufaisha au kumsaidia mwingine.Hapa napinga, kutosoma kwa ndugu zangu hakuna uhusiano na uhitaji wangu wa msaada wa saikolojia. As long as mimi sijapitia hayo na nina elimu yangu hata kama ni ya kawaida tu mkuu, nashukuru mno kwa Mungu.

Relax, nilikua nachokoza uziDuuuh! Yamekuwa hayo? Kupaa tena? Okay!

Nitakujibu soon!Kwahiyo wewe uko kundi lipi? Wewe ni fogo, ni slayqueen malaya, au ni msanii fake huko instagram
Ili iweje?Duuuh! Kunywa maji
Huu msamiati ndo nimeusikia leo kwa mtoa mada,Sawa huna chuki,ila hupendi mafanikio ya mafogo tu basi
