Wewe ni ? .....

Wewe ni ? .....

Mimi Maji ya Mtungi mpaka hii leo popote nitakapoyakuta nakunywa.

Yanakuwa na kaubaridi fulani.

Au Maji ya Kisima ya kunywa kwa KATA yanakuwa na rangi kama ya Maziwa hivi, huwa nayapenda yale Maji.

Na yanakuwa yananukia vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom