OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,703
Wewe ndo PCCB, wewe huyo huyo ni Mahakama, pia ni Mahakama kuu na rufaa. Heeeh kumbe wewe ni TRA pia na CAG wewe pia. Ukiangalia kwa engo nyingine wewe ni Daktari pia Mkurugenzi.
Wewe ndo waziri wa wizara zote na Katibu Mkuu. Wewe ndo polisi, hakimu wewe. Sasa tena umekuwa spika wewe na Engineer ni wewe, RAS, DED na Gavana ni wewe....
Bahati mbaya inakuwa ngumu tu wewe kuwa KUB ama mwenyekiti wa CHADEMA, Means bila wewe hakuna kinachoendelea.