King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Hahaha lakini kazi yako sio wewe!Mimi ni rais wa wabeba maboksi
Mimi ni baba KisuraHahaha lakini kazi yako sio wewe!
Unaweza kuniambia roho unawezaje kuihisi..?Mimi ni Roho iliyoko ndani ya nyumba ambayo ni mwili wangu, Mimi sio muonekano wangu ila muonekano wangu ndio mwili wangu ulionibeba Mimi, Mimi ni roho iliyotokea mbinguni kwakusudi maalum na kazi maalum niyotumwa hapa duniani, nikamilisha kazi hiyo nitarudi mbinguni nilikotokea na mwili wangu nitauacha kapa dunini maana nimeukuta hapahapa, muonekano wangu wa mwili unaweza ukakusaidia kujua Mimi nafana aje, Mimi ni zaidi ya Maelezo yangu
Roho inajitambua kuliko mwili, roho inayohisia kuliko mwili, Roho Ina macho yanaona vizuri kuliko ya mwili, Ina masikio,Ina nguvu kuliko mwili,Unaweza kuniambia roho unawezaje kuihisi..?
Roho ni kitu cha kusadikika zaidi mkuuRoho inajitambua kuliko mwili, roho inayohisia kuliko mwili, Roho Ina macho yanaona vizuri kuliko ya mwili, Ina masikio,Ina nguvu kuliko mwili,