Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,680
- 22,443
Hasira, chuki, visasi hivyo vyote utawavisha watoto ili kulipa kisasi kwa mwanaume wako?Nikija kuwa na watoto baba yao akizingua nitachagua upumbavu tu hakuna namna
Ndio mkuuHasira, chuki, visasi hivyo vyote utawavisha watoto ili kulipa kisasi kwa mwanaume wako?
Usithubutu kuwaza huo ujinga, kumbuka baba ya watoto wako ni mlango wa mafanikio ya watoto wako hivyo wasipomheshimu hawatafanikiwa.Ndio mkuu
Mkuu,nimechagua upumbavu...wewe niache nao tu,am goodUsithubutu kuwaza huo ujinga, kumbuka baba ya watoto wako ni mlango wa mafanikio ya watoto wako hivyo wasipomheshimu hawatafanikiwa.
Sijapendezwa na chaguo lako.Mkuu,nimechagua upumbavu...wewe niache nao tu,am good
Unaweza kutimiza majukumu yako ila mkeo anao uwezo wa kuwafanya watoto wakudharau ama wakuheshimu.tunatimiza majukumu yetu kama baba.
Lakini mkuu si umeweka chaguo?Sijapendezwa na chaguo lako.
Mkuu, just be close to your kids. Hayo mengine usiyape nafasi.Unaweza kutimiza majukumu yako ila mkeo anao uwezo wa kuwafanya watoto wakudharau ama wakugeshimu.
Tambua huu ukweli.
Watanidharau kwa muda Tu wakiwa bado wateke kiakili. Ipo siku Tu.Unaweza kutimiza majukumu yako ila mkeo anao uwezo wa kuwafanya watoto wakudharau ama wakugeshimu.
Tambua huu ukweli.
Sawa mkuuWatanidharau kwa muda Tu wakiwa bado wateke kiakili. Ipo siku Tu.
Hii ni kweli kabisaBaba mzuri ni yule anae lea watoto wake yeye mwenyewe,
Umeongea kiumeMkuu, just be close to your kids. Hayo mengine usiyape nafasi.
Pamoja na kuweka chaguo, nasisitiza sikupendezwa na chaguo husika.Lakini mkuu si umeweka chaguo?
Natamani wanaume wote watimize majukumu yao ya ubaba kwa watoto wao.Watoto wao wajivunie kua wanababaSiku hizi hatusubiri mama zao wawafunze kutuheshimu, tupo kwenye malezi ya watoto wetu ili wao waone how responsible baba zao tupo. Hatutafuti kupendwa, tunatimiza majukumu yetu kama baba.