Wewe ni mwanamke graduate((bsc) umri miaka 23-27! Karibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe ni mwanamke graduate((bsc) umri miaka 23-27! Karibu

Discussion in 'Love Connect' started by commited, Feb 27, 2012.

 1. commited

  commited JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Habari zenu ndugu zangu
  Mimi ni mwanaume miaka28 natafuta mwanamke WA KUISHI NAYE MAISHANI anayejitambua ambaye atakuwa rafiki yangu kwa mwaka mmoja, tukiendana ndoa itafungwa 2014. Naomba awe na sifa zifuatazo (Mwanamke)

  1. Awe mkristo wa dhehebu lolote lie, asiwe mchaga tafadhali
  2. Awe na rangi yoyote ile, awe na elimu japo ya kiwango cha degree(Bsc).
  3. Awe mkweli na Mwaminifu daima
  4. Awe mrefu kiasi futi 5 kuendelea, asiwe mnene, awe mwembamba kiasi
  5. Mpenda maendeleo na asiwe mlevi
  6. Awe na hofu ya Mungu, siyo kiruka njia
  7. Asiwe na mtoto (hajawi kuzaa)


  Sifa zangu (Mwanaume).

  1. Umri miaka 28, Ni mkristo
  2.Ni graduate Bsc
  3. Nipo kwenye International Companies
  4.Mwembamba kiasi, urefu futi 5.5
  5. Ni mweusi kiasi
  6. Si tumii kilevi cha aina yoyote zaidi ya maji, juice na soda
  7.Nafanya kazi niko na kipato cha kunitosheleza kutimiza mahitaji yangu yote,
  8. sina mtoto wala sijawahi kuzaa
  kwa aliye navigezo hivyo tu tafadhali tuwasiliane kupitia geniusmax@ymail.com TAFADHALI ZINGATIA MAELEKEZO!!!! HOPE MMENIELEWA. SI RAZIMA UCCOMENT KILA THREAD.
  MUNGU AWABARIKI NYOTE: EMAIL ZOTE ZITAJIBIWA BILA SHIDA. AKHISANTENI
   
 2. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  mtangeneze mwenyewe mkuu...
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Peleka hili tangazo pale kwenye ubao wa Matangazo pale UDSM. hapa JF tumeshachoshwa na watu mnaodhani hapa ndio kijiwe cha kuondowa stress zenu za maisha za kijinga!!
   
 4. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,994
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu wewe umeandika asiwe mchaga ungeweka pia kabila lako ili wale ambao hawataki kuwa kwenye mausiano na kabila lako wasipoteze muda.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Achana nae huyo stress za maisha zinamsumbuwa tu, usikute ameishiwa hata pesa ya Internet bundle au yuko kwenye ki internet cafe.
   
 6. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  teh teh teh!!..unatarajia kuzaa??

  wapi Preta, naona sifa zote unazo bibie..hebu njoo!!
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio dalali!!.....
  Kwani wewe hiyo kitu hauna?
   
 8. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  mtaan kwetu wapo ila wamegraduate bcom engneering. ATAKUFAA
   
 9. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  bcom engneering !!!!
   
 10. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ndio maana jamaa kasema sio lazima kuchangia,au huna sifa
   
 11. commited

  commited JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Mkuu ni vizuri, ukajifunza kusoma between line mwa hiyo thread nimetoa tahadhari zote.Mtu mwelevu anapokuwa hana cha kusema hukaa kimya, na kama hauna data huruhusiwi kuongea! Pole sana. Maneno yako yanadhihirisha wewe ni mtu wa aina gani. Lakini watu kama wewe ni lazima muwepo duniani ili maisha yaende. Jaribu pia kupitia maneno ya busara ya mkuu COURTESY hapo chini.
  UBARIKIWE SANA.
   
 12. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  siku zinavyokwenda ndio ndoto ya kumpata mume inavyoyeyuka,wengi mnataka waliosoma sasa sie ambao tulikimbia umande tutaolewa na nani????....na hili umbo langu,ngoja nifanye mazoezi...labda nitapata mnh....
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe hapa ndio umechangia nini!!??
   
 14. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  BSc- bachelor of science. Vp wa ngwini huwataki mkuu?
   
 15. ram

  ram JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,226
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Usijali, watakuja wenye degree zao. Mungu ni mwema utapata
   
 16. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  kweli kabisa... very selfish
   
 17. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Nyumba tayari ina mpangaji:)))
   
 18. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Kuna jamaa kasoma between the lines na kagundua WEWE hujasema kabila lako. haya sema watu wajichagulie sio wewe tu unachagu makabila,

  'unataka kutambika' -JK Nyerere.
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Kizuri kula na nduguzo, hata ukiwa unakula nyama kila siku inachosha kuna siku unahitaji dagaa kidogo na matembele. kazi za nje muhimu for good experience.
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  una kampuni, au unataka muwe mnadiskasi sayansi kimu kitandani???
   
Loading...