Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,428 Feb 25, 2011 #1 Habari ya leo nilikuwa nataka wewe mwenyewe ujijue kama ni mwanamke au mwanaume angalia jibu hapo chini Endelea kuangalia chini Endelea tena kuangalia chini Samahani kwa kuchelewesha jibu lakini endelea kuangalia chini Kha! we vp sio chini hapa angalia jibu chini ya kitovu chako
Habari ya leo nilikuwa nataka wewe mwenyewe ujijue kama ni mwanamke au mwanaume angalia jibu hapo chini Endelea kuangalia chini Endelea tena kuangalia chini Samahani kwa kuchelewesha jibu lakini endelea kuangalia chini Kha! we vp sio chini hapa angalia jibu chini ya kitovu chako
Tambara Bovu JF-Expert Member Joined Dec 19, 2007 Posts 585 Reaction score 141 Feb 25, 2011 #2 hii ni crap nyingine aisee,the finest ukowapi uje jamvini labda utapata cha kumjibu huyu.mie nlidhani kasahau jinsia yake kumbe sio.nimekosa cha kujibu bro,ila ukweli ulinchanganya
hii ni crap nyingine aisee,the finest ukowapi uje jamvini labda utapata cha kumjibu huyu.mie nlidhani kasahau jinsia yake kumbe sio.nimekosa cha kujibu bro,ila ukweli ulinchanganya
mafiakisiwani JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 833 Reaction score 620 Feb 25, 2011 #3 Dah! Umenishitua mkuu hahahahahahahahahahahahahahah
Ontuzu Senior Member Joined Jun 26, 2009 Posts 120 Reaction score 120 Feb 25, 2011 #4 mafiakisiwani said: Dah! Umenishitua mkuu hahahahahahahahahahahahahahah Click to expand... Karibu jamvini, huwa kuna visa vingi hapa.
mafiakisiwani said: Dah! Umenishitua mkuu hahahahahahahahahahahahahahah Click to expand... Karibu jamvini, huwa kuna visa vingi hapa.
mafiakisiwani JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 833 Reaction score 620 Feb 25, 2011 #5 Ontuzu said: Karibu jamvini, huwa kuna visa vingi hapa. Click to expand... Nashukuru mkuu