[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ulikuwa unazungusha cassete na peni wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unakula gud gud chocolate wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unachana nywele na chanuo la chuma unalipitisha kwny moto wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unaweka vimstari kwny shati la shule ukipiga pasi wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unavaa raba za dingi hana uwezo ( dhl) shuleni wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unapenda matandu na ukoko unayaloweka na mchuzi viloane ndo ule wewe ni muhenga
Kama ulikuwa jnakisubiria kipindi cha mama na mwana redio tanzania wewe ni muhenga hama kwenu kajitegemee
Kama umeenda shule kwa kushika sikio na mkono wewe ni mhenga mbobezi.Kama ulikuwa unazungusha cassete na peni wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unakula gud gud chocolate wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unachana nywele na chanuo la chuma unalipitisha kwny moto wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unaweka vimstari kwny shati la shule ukipiga pasi wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unavaa raba za dingi hana uwezo ( dhl) shuleni wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unapenda matandu na ukoko unayaloweka na mchuzi viloane ndo ule wewe ni muhenga
Kama ulikuwa jnakisubiria kipindi cha mama na mwana redio tanzania wewe ni muhenga hama kwenu kajitegemee
Kama umepaka maua mekundu mdomoni kama lipstick...wewe ni mhengaKama umesuka kilimanjaro wewe ni mhenga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najivunia sana kuwa muhenga
Kama umenyoa dengerua na kuvaa raizon wewe ni muhenga plusKama umesuka kilimanjaro wewe ni mhenga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sana
Kama umekunywa maji ya kwny mtungi na kikombe cha bati wewe ni muhenga na nusu
Kama umekunywa chai ya kuunguza sukari ( inaitwa twi in one maana umeokoa majani ya chai na sukari pia) ndg yangu wewe ni muhenga
Kama umekunya kweny miguu ya mama wewe ni muhenga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama uliogeshwa umekalishwa kwenye jiwe ....wewe ni mhenga
Sana maji yanakuwa matamu. Siku hz watu wana dispenser[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uhenga wa hivi vitu bado ninao hadi sasa..
Maji ya kwenye mtungi yanakuwa ya baridi mithili ya friji
.-Kama unapigiwa simu unainyanyua juu kisha unauliza nani huyu tena anapiga! Wewe ni mhenga
-Kama ulitumia mafuta ya kimbo ya kopo la chuma wewe ni mhenga ndugu yangu.
-Lingine kama ulioga kwenye bafu lenye mlango wa gunia huku unatoka kwa kukanyagia visigino usichafuke...wewe pia ni mhenga tena mhenga kweli.
Kama umeoga kwa kutumia majani mabichi ya mulenda kama sabuni, wewe ni muhengaKama uliogeshwa umekalishwa kwenye jiwe ....wewe ni mhenga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama bado unang'ata kucha ukitongozwa wewe ni muhengaKama bado unatongozwa na kukata vimajani na kuishia kusema yaani wewe Daby.
Wewe ni mhenga.