Nimekuwa nikifuga sana kuku wa kienyeji na kuwapa madawa lakini wanakufa sana na sipati faida Naomba unisadie kwa hilo asante
shukrani sana kwa kujitolea
eti unaweza kunifafanulia huu ufugaji wa kuku wa mayai kwa kutumia battery cages
kuanzia kuku wanapokua vifaranga hadi wanapoanza kutaga na gharama za kuwalisha wakiwa wanataga na mapato yake kwa wastani
idadi ya kuku ni 500
kinachotakiwa ni wewe kueleza hao mbuzi wanapatikana wapi,kila mtu akieleza alipo utaweza kuwaeleza wote??ningependa kujua upo maeneo gan ili niweze kukuelekeza wap utapata hao mbuzi walii bora
Kwanza nitoe shukran kwa kushare nasi taalum yako kwa kuruhusu maswali.
Ningelipenda kujua,ninatarajia kuwa mfugaji wa kuku wa kienyeji ,vitu gan mhm vya kuanza navyo ukiachana na banda? atleast nianze na kuku wangapi?
Hapa nilipo ugonjwa wa kuku unaosumbua sana ni wa kuku kunya kinyes cheupe pee,na kutoa udenda mdomon mara ukimshika kichwa chin miguu juu.
kwa vifaranga huwa vinakohoa na kujenga kibanda yaan anakuwa kama mtu anayehis barid.
utakuwa umenisaidia san ukinitoa umande juu ya hili,
Natanguliza shukran.

Nina kuku 30 na vifaranga 23 walikuwa wanarandaranda kujitafutia chakula wenyewe na chakula ni kingi tu kwani kuna mashine za unga hapo hapo,
Sasa nimeamua kuwafungia kwenye banda na kuwapa chakula humo humo Je ni idea nzuri?
Swali lingine Je naweza kuongeza mitetea ingawa naogopa maradhi yao
Ninataka kuwafugia Shambani Kibiti,ni mkoa wa Pwaniningependa kujua upo maeneo gan ili niweze kukuelekeza wap utapata hao mbuzi walii bora
battery cage inafaa kwa kuku wa kinyejiufugaji wa kuku kwa kutumia battery cagez unafaida kama inakuitaji uwe na eneo dogo haina ulazima wa eneo kubwa pia ugawaji wa chakula ni rahisi na kwa kuku wanaotaga uwa rahisi kukusanya mayai hivyo nakushauli kuendelea kutumia hii njia na pia kuhusu chakula hakikisha kila kuku anakula gram 130 yenye mchanganyo uliokamilika na maji kila muda
nazan utakua umeelewa lakin kama bhado ujalizika tuwasiliane kwa namba 0753160392
nitafute tulifanikishe hili 0753160392
naam ndio maana ukajiita msemakweli2kinachotakiwa ni wewe kueleza hao mbuzi wanapatikana wapi,kila mtu akieleza alipo utaweza kuwaeleza wote??