[emoji23] [emoji23] [emoji23]Itafikia mahali hata kwenye utoaji wa huduma Watanzania tutaanza kuulizana "ww ni chama gani?"
na hapo ukibainika ww kuwa ni jembe na nyundo,unaweza usihudumiwe au ukahudumiwa vbaya na hovyo hovyo sana!
Hiyo mbona Zanzibar imefanyika kitambo. Walau kwa sasa kidogo imepungua..!Itafikia mahali hata kwenye utoaji wa huduma Watanzania tutaanza kuulizana "ww ni chama gani?"
na hapo ukibainika ww kuwa ni jembe na nyundo,unaweza usihudumiwe au ukahudumiwa vbaya na hovyo hovyo sana!
Kama ndyo hivyo basi Znz wamepevuka kifikra kuliko sisi Wabara!Hiyo mbona Zanzibar imefanyika kitambo. Walau kwa sasa kidogo imepungua..!
The opposite is true.Itafikia mahali hata kwenye utoaji wa huduma Watanzania tutaanza kuulizana "ww ni chama gani?"
na hapo ukibainika ww kuwa ni jembe na nyundo,unaweza usihudumiwe au ukahudumiwa vbaya na hovyo hovyo sana!