Wewe ndio Mshenga.......Toa Uamuzi....

Wewe ndio Mshenga.......Toa Uamuzi....

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757
"...wewe ndio mshenga,toa uamuzi,tuanze kushambulia kulia?katikati? au kushoto?...mwenzetu kishanawa,anatusibiri...."
f04971745bba7fdb5ad03cd504a6103e.jpg
 
"we we ndio mshenga,toa uamuzi,tuanze kushambulia kulia?katikati? au kushoto?...mwenzetu kishanawa,anatusibiri...."
f04971745bba7fdb5ad03cd504a6103e.jpg

Halafu POPOMA mbona sijakuona ukichangia chochote tokea Ndugu yetu Maxence alipopatwa na matatizo na hata kutoka kwa dhamana jana? au Wewe ni mmoja wa wale Makachero mliomkamata na kuzunguka nae?
 
Halafu POPOMA mbona sijakuona ukichangia chochote tokea Ndugu yetu Maxence alipopatwa na matatizo na hata kutoka kwa dhamana jana? au Wewe ni mmoja wa wale Makachero mliomkamata na kuzunguka nae?
popoma,
mchango wangu kuhusu issue ya max upo...ila ni bahati mbaya sisi wengine michango yetu huwezi kuiona hadharani...
....tumejikita zaidi ktk michango ya huduma za kiroho kwa kufunga na kuomba.
na ndio nilichofanya katika suala la max
 
Ulifunga Kula au Kubandua POPOMA? Ili niamini kuwa kweli Rafiki yangu Wewe humu JF tulikuwa pamoja katika sakata zima la Ndugu yetu Maxence Melo habu msalimie hapa na tupia maneno yako kadhaa yatakayo mpya afya ya akili na kumfanya afarijike. Nasubiri Mkuu!
 
Genta... Kama umeniona vile tupo hapa tunasubri kupokea mahali karibuni mliopo Mbeya
 
Ukitaka utabasamu zaidi,mtizame Mara mbili mbili yule Jamaa aliyenawa....halafu tafakari anawazia nini...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] eeeh Mungu huu ugali ntakachoufanya leo wewe ndio unajua, unisamehe kwa dhambi ya ulafi.
 
Back
Top Bottom