Wewe na familia yako

Wewe na familia yako

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
83
Inaogopesha?
 

Attachments

  • FAMILIA YOTE.jpg
    FAMILIA YOTE.jpg
    49.2 KB · Views: 218
inatisha jamani, ni wapi hapo?nawapa pole sana
 
Ni imewahi tokea au umeamua tu kuandika hicho kichwa cha thread ??
 
Inaogopesha kweli ndio maana tunaambiwa tukeshe tukiomba maana hatujui siku wala muda.
 
hiyo gari ilikuwa imepaki na hakukuwa na mtu ndani,kichwa cha habari kibadilishwe.
 
dah!!!!!
pole zao wote kama kuna aliyekuwemo ndani.

tukeshe tukiomba kwa maana hatujui siku wala saaa.
amen
 
Back
Top Bottom