Wewe mwana JF una taaluma gani?

Jamani nimemaanisha kama umesoma ngazi ya shahada, je umesomea fani gani?
Mkuu ungeanza wewe kutuambia una shahada gani na umesoma fani gani . Ni vema tukakujua wewe kwanza na pia ueleze sababu ya kutaka kujua elimu zetu je kuna mahala labda umekwazika au unahitaji ushauri wa kitaalam mara baada ya kueleza shida yako watajitokeza wahusika na fani zao nao watakusaidia.
 

Mods please BAN here here. Kwa hisani ya mwenyekiti.
 
Eh! Taaluma jamiiforum tena!!! Hapa taaluma haina mashiko!!! Ukitaka taaluma nadhani uende sehemu husika zinakotambuliwa au kuhitajika. Sisi hapa hatuzihitaji. Taaluma ni very personal na haiongezi kitu au kupunguza kitu hapa jamvini.
Tuweze kufahamiana taaluma zetu!
 
Masters in fighting For Public Transport Strategies.

3 years experience (Magari ya Posta - Mbagala)

Nimeipenda hii. Ila inaonekana ni program ngumu yaani imekuchukua 3 years for masters. Bachelor sijui ni miaka mingapi....!!!! Teh.... teeehh!!!!!
 
Dah... Mi nabaki kucheka tu, watu wanavyo pindapinda humu, wengine wanatukanana yaani daah!!!!!!
Mtoa mada kazi unayo!
 
maybe mods wangeweka subforums za professions mbalimbali like doctors,engineers,accountants,auditors,teachers etc where people discuss different issues relating to their professions and getting to know each other...that would make sense
 
mimi binafs sijalipenda hili swali.ina maana jf ni ya waliona shahada pekee?
 

samahani mkuu!huna sababu ya kutukana,hapa tunawekana sawa tu!mbona hayo ya facebook sikumbuki ndugu yangu?
Nisamehe kama nimekukwaza
 
Hapa ndo tunajua mbwembwe nying za jm kumbe wengi wao watoto wa sekondari tu wanaonuka maziwa ndo maana hata michango yao inanulka maziwa tu.masters in business management(cooperate management)

mwenye masters hawezi comment ----- huu!
Wewe utakuwa form four failure
 
samahani mkuu!huna sababu ya kutukana,hapa tunawekana sawa tu!mbona hayo ya facebook sikumbuki ndugu yangu?
Nisamehe kama nimekukwaza

Unakumbuka comment yako uliponiquote kwa mara ya kwanza?

Haya bwana yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…