julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,341
- 4,572
Wewe kijana mkata tiket azam fast feries jana jion dirisha namba 4 hapo Dar una kiburi na huna huduma nzuri kwa wateja. Majira ya jion jana sisi wengine hatujawah kufika Zanzibar hatujui madaraja hatujui nauli kias gani au zile ethics zote za huduma kwa wateja.Unakaa unakunja kunja midomo hujibu hutoi sauti unaona kama wewe ndio Abubakar.
Wafanyakazi waswahil siku zote ndio mnajiona tajiri kakaa huko anajua mna huduma nzuri kumbe mmekaa tu jana mama kabidi aende zan fast feris kwa hasira tu ya jinsi mnavyo handle wateja mnamkosesha hela tajiri, badala uwe sharrp lugha nzuri umuelezee mteja seat zipi nzuri umekaa kuvuta midomo utafikir mtoto wa kike husem seat kama silver na gold ipi nzuri.
Ushauri:
Tajiri hapo vijana wanakuharibia kazi, tulichukia sana kwa kweli