hahahaga mkuu yule anakarbia kukata motomshana jr cheki jamaa wa pembeni mwenye kawoshi anavyomshangaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daah hiyo ndiyo kawaida ya jibapa a.k.a Lusekero !Ile nembo ya WANAUME WA SHOKA WAJENGAO BILA KUCHOKA unaweza kuiona iko upside down.Anaona kama maandishi yamegeuka halafu yanacheza mziki