Haha huyo mzee ana maamuzi magumu kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka balaaaa! Tutembee na mavi tu kwa muda mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya ubaya, nikumsaliti Yuda kama alivyomsaliti Yesu, kakomenti kwene picha kana ushauri mtamuJazilizia mwenyewe mkuu, au nawewe utatembea na kinyesi kama mkuu hapo juu?
Acheni kufananisha Bible na mambo ya kijinga....Povu ruksa......mimi ningeipoteza ile page ya table of contents kama blank page haitokuepo
HASHTAG Muhimu imani tu [emoji3] [emoji2] View attachment 853657
Kweli maswali mengine Kama ndoto za mchana.Haiwezi kutokea as siyo jambo la kukurupuka
Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
Hahaha nimekusoma sasa, au unatafuta ile page ya shetani akimlaghai eva kula tundaUbaya ubaya, nikumsaliti Yuda kama alivyomsaliti Yesu, kakomenti kwene picha kana ushauri mtamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa! Halafu shati Unatoka nalo nje unatupa kwenye dustbin! Safari ya kwenda kachukua Pesa inaendelea.Natumia shati langu na kubaki kifua wazi.
SavageHahaaaa! Halafu shati Unatoka nalo nje unatupa kwenye dustbin! Safari ya kwenda kachukua Pesa inaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hahahah we jamaa kiboko... Hasa hapo kwenye mfuko wa suruali sasa naimagine kile kitendo cha kusimama si kwenye bonde la ufa kutatapakaa mavi [emoji90] [emoji90] [emoji90]Ntatumia Boxer, Soksi, Lesso, Ntakata kipande cha ndan kwenye mfuko wa suruali, kipande cha shati... Huwez kosa vyote hivi