Hilo ni suala lingine sasa. Naweza kumpatia kijana pesa na shati. Very simple.Umetisha, shatu utalitupa wapi sasa...? Hujui yananasaga matelio ya nguo mzee
Sasa mbona swali linaendelea kuwa refu tu.Ndio hadi umpate huyo kijana, na vyoo vyetu hivi vya kuflashi [emoji2]
Hahaha uanze kutembea na leso mkuu ni simpo kudespose [emoji28] [emoji28]Sasa mbona swali linaendelea kuwa refu tu.
Simple conclusion ni kwamba inabidi utafute mbadala wake. Maana Biblia na Pesa vinathani kubwa.
Unaweza kutumia hata nguo ya ndani kuchamba baada ya kuchamba utajua cha kufanya. Au unaweza ukatembea na mavi kwa muda tu. Then ukifika sehemu ya maji unatawadha.
Maana hata hizi karatasi na pesa havitaondoa harufu, bali utajipakaa mavi tu na harufu itabaki pale pale. Very simple.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka balaaaa! Tutembee na mavi tu kwa muda mkuuSasa mbona swali linaendelea kuwa refu tu.
Simple conclusion ni kwamba inabidi utafute mbadala wake. Maana Biblia na Pesa vinathani kubwa.
Unaweza kutumia hata nguo ya ndani kuchamba baada ya kuchamba utajua cha kufanya. Au unaweza ukatembea na mavi kwa muda tu. Then ukifika sehemu ya maji unatawadha.
Maana hata hizi karatasi na pesa havitaondoa harufu, bali utajipakaa mavi tu na harufu itabaki pale pale. Very simple.
Hili swali nasubiri majibu yake.