wEWe Je, uKiWA hUpEnDi KeLEle UnaFAnyaJe??

Jul 9, 2012
11
6
kuna jamaa huwa hapendagi xana makelele na ndo mana akikaa peke yake anackiliza empty CD.WW JE, UKIWA HUPENDI KELELE UNAFANYAJE?
 
Afadhali umesema jamaa fulan, kumbe sio wewe usiyependa KeLEle...ningeanza kukupa ngumi za kidefu ili unieleze vizuri kwa nini unamchukia mjukuu wangu kelele wakati unajua kabisa mimi (@MpigaKelele) babu yake huwa na vinjari mara kwa mara kwenye jamvi hili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom