Wewe huna ila wenzako wanazo

Hili hata ukilitelekeza sehemu wezi wa magari hawalitaki saaaana wataiba speaker za redio.....

Na hasira watakwangua rangi tu
 
Maisha hayapo sawa kabisa........acha niende kwa fundi nikazibe pancha baiskeli yangu.
 
Hili hata ukilitelekeza sehemu wezi wa magari hawalitaki saaaana wataiba speaker za redio.....

Na hasira watakwangua rangi tu
Nimecheka mpaka machozi yametoka. In fact kuna ukweli, teja atamuuzia nani mfano hizo side mirrors? Gari yenyewe moja tu nchi nzima
 
Mkuu nahisi davi mosha analo kama sikosei
Davis boss wke na lembebez....kweli au unatania bugati zinatengenezwa kwa oda kma sikosei......sasa anunue gari ya 1.2m$ karibia 2.5bn ya kwetu halafu mpambe wke anatembelea noah c itakua maajabu
 
Davis boss wke na lembebez....kweli au unatania bugati zinatengenezwa kwa oda kma sikosei......sasa anunue gari ya 1.2m$ karibia 2.5bn ya kwetu halafu mpambe wke anatembelea noah c itakua maajabu
Iam serious no kiddin..siku chache zilizopita lembebez posted some expensive toys nyumbani kwa davis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…