Wevi wa kitoweo

Hao si mbwa jamani?
Walitaka kuwala au?

Wewe unauliza jibu???!!!! Kwao mbwa ni kitoweo cha kawaida kabisa...Yaani wao wanakushangaa wewe unayewashangaa kwa kula mbwa...Yaani kule hata nyoka ni kitoweo safi...kwenye butcher ya nyoka usiombe kuona namna mijoka mirefu mirefu ilivyotundikwa....
 
Alafu hii mijamaa si ndiyo inatengeneza incubators?!! Kwanin wasifuge kuku kwa wingi wakaondokana na adha hii.
 
Mate yananidondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…