WEUSI: Unanifanya Nicome

WEUSI: Unanifanya Nicome

broda

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
245
Reaction score
160
Habari wanabodi,

Hawa jamaa Weusi hii nyimbo yao unanifanya nicum ni noma! Wako vizuri sana...Gnako ni fundi mbaya, na vile kacombine na mafundi Joh na Nicki basi ngoma imekamilika.

Big up kwao..
 
Gnako huyu jamaa sio mzuri kabisaa.
kama ni kiungo kwenye mziki basi ni Xavi.

Ni track nzuri nimeipenda saana.
 
Ni wimbo mzuri sana aisee. Naupenda balaa, ila VIDEO HAWAJAITENDEA HAKI...!!! Haijatulia kiivyo, cjajua kama sababu ni participants kuwa wengi na lazima WOTE waonekane au vipi. Yan hata wewe muangaliaji macho hayatulii picha inajibadilisha fasta aisee.

Binafsi sio fan wa Diamond, ila kiukweli anajitahidi sn kutengeneza video zake.

NB: Maneno yng sio sheria. Huo ni mtazamo wangu tu...!!
 
Ni noma huyu jamaa siyo kitikio siyo mistar...!!
Kibongo bongo kwnye kiitikio sidhan kama kuna mtu ana mkamata
 
Ni wimbo mzuri sana aisee. Naupenda balaa, ila VIDEO HAWAJAITENDEA HAKI...!!! Haijatulia kiivyo, cjajua kama sababu ni participants kuwa wengi na lazima WOTE waonekane au vipi. Yan hata wewe muangaliaji macho hayatulii picha inajibadilisha fasta aisee.

Binafsi sio fan wa Diamond, ila kiukweli anajitahidi sn kutengeneza video zake.

NB: Maneno yng sio sheria. Huo ni mtazamo wangu tu...!!

Sasa diamond kaja vipi hapa
 
Wimbo una matusi mwanzo mwisho. Walianza na kuamsha DUDE sasa eti wana cum. Nitaandaa audio clip ya kuzifafanua nyimbo zote za matusi Tanzania nzima ili wakose mashabiki. Nyimbo gani hizo zina zuio la umri kusikiliza na huwezi kusikiliza na wazazi wako?

Au matusi ndio KIKI?
 
Jamaa itakua unatatizo mahali si bure..
 
Back
Top Bottom