KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,318
Kwa hiyo unatushauri tutumie mkorogo? Umenoa baba, I'm a black beauty and I know for sure that I am! Kha!
kitu black berry bana kwenye paja utakuta choclet colour yayayayaya
Weupe ni kila kitu jamani..weupe ni an added advantage kwa almost kila kitu. Sorry kama nitakuwa nimeudhi watu!