Westlife Is Back - Better man

Ngoja nikausikilize ufundi wa ed sheeran kwenye upapasaji wa nyuzi za acoustic guitar
Kama una ngoma ya Ed Sheeran ya perfect naiomba mkuu....maana kwenye mitandao nimejaribu kuidownload yanakuka pop ads za mablogger
 
Ni wimbo gani huo bibie nami ni uskize japo kidogo?

Smart guy
 
Kama una ngoma ya Ed Sheeran ya perfect naiomba mkuu....maana kwenye mitandao nimejaribu kuidownload yanakuka pop ads za mablogger
 
Attachments

😂😂😂😂😂😂 wana lyrics nzuri sana aisee..mie ile Album yao yt bado ipogo kichwan
 
Yale yalikua maoni yangu; na haya ni maoni yako - Hayanisumbui, hivyo na wewe usisumbuke na maoni yangu. Mbona ni kawaida sana binadamu kua na mitazamo, na matakwa tofauti mkuu?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…