Sasa CBD yenu nani asieijua wewe unakazana kusema nyumba za flr 20 wakat Posta inakibao Za 30flr huoni unatafuta namna ya kukimbiaBuda westlands na upperhill bado sana kwa main CBD...juzi umepost over 20 towers za posta zinatoshana na westy...cbd itakuabisha bure
What happenedSarit centre may fire incidentView attachment 911431View attachment 911432
posta imeshafanya mauwaji sasa leteni area zingine hahaha posta 5 westy 0Sasa imebidi posta isaidiwe na hizo area zingine.....kweli westy kibokoView attachment 911156View attachment 911158View attachment 911159View attachment 911160View attachment 911161View attachment 911162
kwani times tower ni floor ngapi?Sasa CBD yenu nani asieijua wewe unakazana kusema nyumba za flr 20 wakat Posta inakibao Za 30flr huoni unatafuta namna ya kukimbia
Wewe unajua westy ina hotels na malls nyingi kuliko posta?kusema ukweli west ilibidi ishindane na kariakoo na sio posta hii ni kesi ya ubakaji kabisa kwa posta kushindanishwa na westland oona sasa west picha zinarudiwa rudiwa tu
kariakoo sasa ni nini tunataka business dustrict sio downtownkusema ukweli west ilibidi ishindane na kariakoo na sio posta hii ni kesi ya ubakaji kabisa kwa posta kushindanishwa na westland oona sasa west picha zinarudiwa rudiwa tu
Hakuna haja ya kuwaaibisha CBD na Upper hill itakua kama rape case
Posta bila makeup.Hii ndio posta bwana msifananishe na uchafuView attachment 911069View attachment 911070View attachment 911071View attachment 911072View attachment 911073View attachment 911074View attachment 911075View attachment 911076View attachment 911077View attachment 911078View attachment 911079View attachment 911080View attachment 911081
Unashangilia kama mazuzu wakati huko Westland hata kukaa haukai wapo Wazungu na Wahindi na wageni kama sisi wewe unakaa huko Mabanda!! Hebu tuletee picha cha kule Mabanda unakokaa kama itakuwa sawa na sehemu yoyote hapa TZ!Westy inatesa mandugu zetuView attachment 906855
😂😂😂Unashangilia kama mazuzu wakati huko Westland hata kukaa haukai wapo Wazungu na Wahindi na wageni kama sisi wewe unakaa huko Mabanda!! Hebu tuletee picha cha kule Mabanda unakokaa kama itakuwa sawa na sehemu yoyote hapa TZ!
Dahell are you talking about???Unashangilia kama mazuzu wakati huko Westland hata kukaa haukai wapo Wazungu na Wahindi na wageni kama sisi wewe unakaa huko Mabanda!! Hebu tuletee picha cha kule Mabanda unakokaa kama itakuwa sawa na sehemu yoyote hapa TZ!
hii matako iko sawa