Western union error, shida nini?

Western union error, shida nini?

dullah saw

Member
Joined
Jan 26, 2021
Posts
6
Reaction score
7
Kipindi cha nyuma nilikuwa naweza kupokea pesa western union lakini sasa hivi nikitumiwa pesa zinagoma kuja shida ni nini?
 
System sijui imekumbwa na nini, siku 7 zilizopita nimekutana na changamoto hiyo
Hata upande wa Bank sijui kuna shida gani.. Nimekuwa natumia account ya USD Equity bank lakini cha kushangaza eti client mpya ananiambia kuwa swift code haitambuliki.. Anyway jumatatu nitakwenda bank kuuliza maana hata sielewi shida nini
 
Pole bestie
 
nami pia ni muhanga, naongezea:

1. muamala toka Xoom to Equity , hauonekani upo wapi

2. muamala toka Equity kwenda chinese bank kwa swift, hauonekani upo wapi
 
Back
Top Bottom