Where is Canaan Banana?
Huyu dikteta nae zake zimefika. Kama sio kiumri ataondolewa kwa kura au nguvu. Anafanya sherehe za kuzaliwa wakati watu wake ugali mkavu hawapati.
Mugabe ameifanya Pesa ya Zimbabwe kuwa takataka, Uchumi umeshuka sana, fujo isiyo ya msingi, kuzuia demokrasia, kufikiria kuwa yeye tu ndiye kiongozi wa maisha n.k na sisi wa Africa ndiyo tunamwita huyu mtu anaakili? je wasio na akili wanafnaya nini sasa!!