Western media

Western media

Superhuman 1995

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
1,506
Reaction score
2,453
Wapenda haki popote mlipo tunapaswa kuperurusha #tag yetu ya free TAL kwa page za mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani kama CNN, Aljazeera, BBC sio BBC swahili, Newyork times hii campaign isiwe na mwisho mpaka dunia nzima ijue yanayoendelea Tanganyika huku tukiwa na Quotation yetu pendwa ya No reforms no election, hakika campaign yetu itasikika duniani
 
Matunda ya great campaign ya free TAL , Lazima yalete matokeo
 
Attachments

  • Screenshot_20250410-231922.png
    Screenshot_20250410-231922.png
    1.3 MB · Views: 14
Ccm wenyewe taabani hapo walipo wenyewe kwa wenyewe humalizana kwa sumu. Tundu Lissu yupo na Mungu hawamuwezi kabisa hao wenye chama cha Mashetani(ccm)
Kwa kweli hawatamuweza ,kadri wanavyoongeza nguvu ya kupambana naye ,ndivyo wanavyoongeza kasi ya kujipoteza,Mwaka huu naona anguko kubwa la CCM
 
Wapenda haki popote mlipo tunapaswa kuperurusha #tag yetu ya free TAL kwa page za mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani kama CNN, Aljazeera, BBC sio BBC swahili, Newyork times hii campaign isiwe na mwisho mpaka dunia nzima ijue yanayoendelea Tanganyika huku tukiwa na Quotation yetu pendwa ya No reforms no election, hakika campaign yetu itasikika duniani
Sio kupeperusha tu, nendeni kabisa huko huko kupeleka mabango ya huo ujinga wenu. Tanzania Moja itaendelea kulindwa kama mbonicya jicho.
 
Wapenda haki popote mlipo tunapaswa kuperurusha #tag yetu ya free TAL kwa page za mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani kama CNN, Aljazeera, BBC sio BBC swahili, Newyork times hii campaign isiwe na mwisho mpaka dunia nzima ijue yanayoendelea Tanganyika huku tukiwa na Quotation yetu pendwa ya No reforms no election, hakika campaign yetu itasikika duniani
Waambie ukweli Hawa mapimbi!
 
Haya mambo maccm yanachukulia poa ila yana consequences kubwa tu!

Refer ban ya Pompeo kwa Makonda!
 
CCM ni kama timu za waarabu wa kaskazini mwa afrika
Nyakati hizi wanakutia nguvuni,wanakutia rumande ili tu wakutoe kwenyemstari.
Then wanakuachia tena,ni noma aise
 
Free TAL,#No reforms no election
 
Back
Top Bottom