Western countries should learn from China's non-interference policy

Mwambie ajisomee habari ya China kuwaua raia wake Tiananmen square ndo ataelewa ukatili wa China dhidi ya raia wake
Mauaji ya Kutisha ya Tiananmen Square, China:


Serikali hii Katili ilitumia majeshi na vifaru vya kivita kuua maelfu ya raia wasio na silaha yoyote mchana kweupe..

Afu hao ndo "role models" wa ccm🙄
 
China hata msaada anaotoa Tanzania anazidiwa hadi na Nchi ndogo za ulaya kama Sweeden!
Hawa Wachina wananyanyasa sana waafrica hata kwenye kampuzi zao!Hawa jamaa hawajali utu wa mtu as long as they are making money!
Wazungu ni marafiki bora zaidi kuliko jamii za Asia mara nyingi Wazungu huweza kufuta deni kwa urahisi kabisa with one heart lakini jamii ya Asia nop, na wakifuta jua wameshajua watazipataje humohumo ndani ya nchi yenu.
 
Because their hands are not and they know better if they will poke their nose on other peoples business the smell will come back on theselves.

kwani hao Wazungu wako wana usafi gani zaidi ya unafiki?
 
Duuh, ajira zenyewe hizi za manati! So mtu anaona bora avumilie kuliko kwenda mtaani kuanza upya, Wachina ni washenzi sana!
 
WAZUNGU NI MARAFIKI BORA ZAIDI KULIKO JAMII ZA ASIA MARA NYINGI WAZUNGU HUWEZA KUFUTA DENI KWA URAHISI KABISA WITH ONE HEART LAKINI JAMII YA ASIA NOOP NA WAKIFUTA JUWA WAMESHAJUA WATAZIPATAJE HUMOHUMO NDANI YA NCHI YENU
Majirani zetu walivyoshindwa kulipa,wachina walikamata hadi bandari!
 
umethibitisha haya unayo yasema. Tupe ushahidi
 
Better the enemy that confronts you directly in broad daylight than the snake that strangles you while whispering sweet lies in your ear.
 
Yamebaki masaa machache tu watu waingie THE HAGUE..tulieni kama mnanyolewa si mlizoea kudharau mahakama za Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…