Safi!Mkwepa kodi ni muhujumu uchumi.Yaani haya mambo yangekuwa hadi hapa Tanzania ingekuwa kheri maana watu pekee ambao hawakwepi kodi Tanzania ni wafanyakazi...wanaliwa kodi juu kwa juu...wafanyabiashara mara misamaha ya kofi mara wanakwepa kodi and they are getting away with it...!