Sasa wewe unawakataza wengine kupiga domo halafu wewe mwenyewe ndio kwanza unalipiga kwa sauti ya juu tena na vijembe juuHivi kwa mini Tanzania watu hawampi support rais huyu peculiar kabisa ila tunambeza kiasi hiki mi nashangaa. Kila mtu anajua kupiga domo. Kwani watanzania mnataka nini? Mbona hamueleweki. Fanyeni kazi jamani acheni kupiga domo kila wakati. Sisi tumenyamaza tungeqeza kuishambulia chadema mana haina mwelekeo tena has a baada ya kuingiliwa na mafisadi. Ila tumemezea jamani acheni magufuli ana nia nzuri na nchi yetu ila mumsaidie tu akikosealakini siyo kumbeza. Pumbafu zenu!!!
Mwambie aweke japo mfano mmoja wa fisadi aliyeinunua forum uone hayo mafyongo yakeUsihukumu wenzako kuwa mafisadi, tutaaminije kama wewe si fisadi au unanufaika na ufisafi? Yawezekana unapost pumba au matusi ndio maana wanaondoa
Maguli is showing in reality that we have to exodus where we are but some people are struggling to make things not successful like the opposition parties. We must understand our president is so enthusiastic to make Tanzania shine anlmongst nations
Mbio ni nzuri sana hasa unapotaka kuwa no 1 lakini pia hekima ni muhimu kwakuwa kama usipokuwa makini na una usongo wa ku win utajikuta unavamia hata gari inayokatiza barabara kwa ghaflaSawa sukari imepanda bei lakini tuangalie lengo LA rais lilikuwa ni nini?. Ni wazi aliona mbali sana na kuwa mzalendo viwanda vyetu vistawi kwa Ku avoid competition. Sasa changamoto zimetokea so ilitakiwa wapinzani wabooreshe wazo zuri LA raise siyo kumshambulia
Mkuu ulikuwa jela nini? Pitia hii link hapa chini bofya.anatafuta kick si alisema atatuambia walioficha pesa uswisi ile hadithi imeishia wapi au alitishwa ukishaingia kwenye siasa unakuwa kama mpigania uhuru kwani tayari umekuwa umeyaweka rehani maisha yako na sio kukimbilia kuonewa huruma
Kuna msamiati wameuanzisha "Lumbesa"nape ni mzigo tena mkubwa sana
Wachovu ndo stupid!!!stupid Zitto
Zito mtetezi wa mafisadi???????????Au ndo kindakindaki.....!Ila mi sijaicriticise serikali hapa! Manake kama zito katishwa je mie!Si ndio kwenye tv makosa ya mtandao narumandenishwa.threatened? sijaona ni kwa namna gani hao watetezi wa mafisadi wametishiwa?
Usitegemee mdebwedo , ubunge wa Tanzania ni kupambana , hata kwa ngumi ikibidi , hebu fuatilia namna Lijuakali alivyopata ubunge kilombero , alipambana na viongozi wote wa kila idara ya serikali morogoro na aliwashinda , ni lazima kupambana.kwa mtindo huu hakuna haja ya kuwa na bunge kamwe....
Huyu mubunge ni hasara kwa waliomchagua!!!!
Unachokiongea ni tofauti na uhalisia wa mada tajwa.anatafuta kick si alisema atatuambia walioficha pesa uswisi ile hadithi imeishia wapi au alitishwa ukishaingia kwenye siasa unakuwa kama mpigania uhuru kwani tayari umekuwa umeyaweka rehani maisha yako na sio kukimbilia kuonewa huruma
umetoa mawazo mazuli lakini sentensi ya mwisho imekuharibia,Hivi kwa mini Tanzania watu hawampi support rais huyu peculiar kabisa ila tunambeza kiasi hiki mi nashangaa. Kila mtu anajua kupiga domo. Kwani watanzania mnataka nini? Mbona hamueleweki. Fanyeni kazi jamani acheni kupiga domo kila wakati. Sisi tumenyamaza tungeqeza kuishambulia chadema mana haina mwelekeo tena has a baada ya kuingiliwa na mafisadi. Ila tumemezea jamani acheni magufuli ana nia nzuri na nchi yetu ila mumsaidie tu akikosealakini siyo kumbeza. Pumbafu zenu!!!