So what? That is the way things should have been. By the way, we are more connected with more people than ever at the same time... Show emotions to your wife and kids at home...
Kizungu kazi kwa kweli
Lakini kwa mujibu wa kaelimu changu nahis unazungumzia namna technology ilivyoathiri mahusiano yetu
Umesema kweli tupu
Mimi na mke wangu huwa tunachart kila mtu na simu yake na Hakuna mwenye habari na mwenzake
There's no physical connection attached to anything anymore.
We've developed relationships with things, not each other.
Ninety-five percent (95%) of the personal conversations you have on a daily basis occur through some type of technology. We've removed human emotion from our relationships, and we've replaced it with tech.
Copy N paste mkuu...ila sio mbaya kushare kizuri na wenzako.
A cobweb theory of interconnectionThere's no physical connection attached to anything anymore.
We've developed relationships with things, not each other.
Ninety-five percent (95%) of the personal conversations you have on a daily basis occur through some type of technology. We've removed human emotion from our relationships, and we've replaced it with tech.
Mke wangu akiwa instagramNdio muache sasa kutumia masimu yenu....
Na mwanze upya mahaba yenu sio mkipigiana simu ni maswala ya kazi.....fundi kaja...watoto wanadaiwa ada..nk nk
Mke wangu akiwa instagram
Mimi niko busy jamiiforum
Mpaka huwa nataman kusingekuwa na simu