Sana kabisa wambeyaWahindi na waarabu hawana tofauti jinsi wanavyo ishi, tatizo lao wanasemana sana. Na ukienda kuwatembelea ukitoka tu unasemwa
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Unavosema wanayaweza maisha uangalie na uchumi wao.Nina shost Mhindi, basi siku moja katika kupiga story aliniambia yeye ameolewa na last born wa familia. Familia ya mume wake wako sita, wanaume watatu na wanawake watatu. Wanawake wote wameolewa wako kwa waume zao. Wanaume wote wameoa na wanakaa pamoja katika nyumba ya wazazi.
Aliniambia wanakula wote pamoja. Sasa sikumoja ametoka kupika chicken, bakuli lilimponyoka mikononi akiwa anapeleka mchuzi mezani.
Shemeji mkubwa alitoa joke tu na kuanza kumsaidia kusafisha sakafu. Ilibidi maarifa mengine yafanyike haraka watu wale chakula.
Watoto wote wanasoma shule moja na Baba anaelipa ada analipa ada ya wote. Wavulana wote wanalala pamoja sawa na wasichana.
Wanawajengea watoto wa kiume wote nyumba zao kila mmoja kwa pamoja. Wakike wanaamini wataolewa.
wambea sana.......Wahindi na waarabu hawana tofauti jinsi wanavyo ishi, tatizo lao wanasemana sana. Na ukienda kuwatembelea ukitoka tu unasemwa
Ndukiiiii ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Hiyo ni life style ya wahindi kuishi kifamilia, ila kama wote mna kazi su vipato matumizi ya nyumbani kwa mwezi ni donation, na hilo la watoto kujengewa ni chai ya asubuhi, maisha ya Wahindi ni National housing, labda warithishane appartment au mikataba ya NHC.Nina shost Mhindi, basi siku moja katika kupiga story aliniambia yeye ameolewa na last born wa familia. Familia ya mume wake wako sita, wanaume watatu na wanawake watatu. Wanawake wote wameolewa wako kwa waume zao. Wanaume wote wameoa na wanakaa pamoja katika nyumba ya wazazi.
Aliniambia wanakula wote pamoja. Sasa sikumoja ametoka kupika chicken, bakuli lilimponyoka mikononi akiwa anapeleka mchuzi mezani.
Shemeji mkubwa alitoa joke tu na kuanza kumsaidia kusafisha sakafu. Ilibidi maarifa mengine yafanyike haraka watu wale chakula.
Watoto wote wanasoma shule moja na Baba anaelipa ada analipa ada ya wote. Wavulana wote wanalala pamoja sawa na wasichana.
Wanawajengea watoto wa kiume wote nyumba zao kila mmoja kwa pamoja. Wakike wanaamini wataolewa.
Kama huna kazi unapewa mtaji wa biashara na changamoto za biashara zinaongelewa sebuleni jioni hata watoto wanazisikia na kujifunza. Kwakweli alisema watoto wa kiume wanawaanzishia maishawkwa kuwajengea inawezekana ni kwao India.Hiyo ni kife style ya wahindi kuishi kifamilia, ila kama wote mna kazi su vipato matumizi ya nyumbani kwa mwezi ni donation, na hilo la watoto kujengewa ni chai ya asubuhi, maisha ya Wahindi ni National housing, labda warithishane appartment au mikataba ya NHC.
Hawa Wahindi wa hapa hawana chao India zaidi ya bussiness connection, ukumbuke hata wale waliofukuzwa Uganda na Idd Amin India ilikataa kuwapokea ndio wakapokelewa na Uingereza.Kama huna kazi unapewa mtaji wa biashara na changamoto za biashara zinaongelewa sebuleni jioni hata watoto wanazisikia na kujifunza. Kwakweli alisema watoto wa kiume wanawaanzishia maishawkwa kuwajengea inawezekana ni kwao India.