Paskal kwa nini siku hizi za karibuni umeamua kuwa myopic kiasi hiki?Ni kawaida nabii huwa hakubaliki nyumbani, na kwa sifa hizi nilishauri nasi tusikae kimya bali tujibu mapigo
Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!
P
Wanazungumzia kuhusu Simbachawene na Ngonyani kujiuzulu wanashindwa kumtaja Mwanasheria mkuu wa mikataba yote mibovu.
Wanazungumzia Simbachawene kujiuzulu wanashindwa kumuuliza mkubwa aliyebeba pande la almasi
Wanazungumzia Simbachawene wanashindwa kuuuliza kuhusu huyo mkubwa aliyekuwa mwanasheria wa wizara yenye kashfa na sasa naibu waziri.
Uendelevu wa siasa za BULLDOZER haupo na akimaliza muda wake ataondoka na yake.
Naitakia mema nchi yangu!!