Wenzetu wana marais; sisi tuna kiwete
Huenda huyo ndiye tunayestahili kuwa naye, kwani hakuletwa kwetu kwa nguvu bali tulimchagua sisi wenyewe; angalu mwaka 2005-na hata mwaka 2010, kwani hakuna kati yetu aliyesimama kusema kuwa huyo si tulieyamchagua, kama wanavyofanya wenzetu.
heshima mbele mkuu!tunae bingwa wa kuchekacheka hata ktk mambo magumu.mzee wa kutalii,muasisi wa udini!ama kweli wenzetu wana MARAISI SISI TUNA JAKAYA!Wakuu
Amani iwe kwenu.
Nimelazimika kuandika ukweli huu kwamba huko duniani ( katika nchi nyinginezo) wana marais ambao wananchi wao wakikumbwa na dhahama wanawajulia hali na kuwafikia mara moja. Wenzetu hao wana marais ambao maofisa wa serikali wakiboronga wanawajibishwa mara moja. Wenzetu wana marais ambao kama serikali ikifanya kosa la kugharimu maisha ya watu itaomba radhi hadharani. Kwa wenzetu wezi walioiba kikubwa ( km ilivyo kwa EPA) wanaadhibiwa kwa kuanzia aliyeiba kingi kuliko wenzake. (just to mention but a few)
Yawezekana mna mengi zaidi ya kuchambua ukweli huu "WENZETU WANA MARAIS; SISI TUNA KIKWETE"
Sisi tuna kilaza
- ninacho fahamu kikwete hakuchaguliwa na wananchi 2010,bali mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ndio aliye mteua hivyo haikuwa ridhaa ya watanzania walio wengi matokeo yetu waliyachakachua